Kuwa kituo bora katika mnyororo wa ugavi kwenye dawa na vifaa tiba Kusini mwa jangwa la Sahara
Bohari Kuu ya Dawa ni moja kati ya taasisi za Wizara ya Afya yenye jukumu la kupoke, kuhifadhi na kusambaza Dawa muhimu, Vifaa tiba, Vifaa vya uchunguzi wa Kimaabara na uchunguzi wamionzi. Bohari Kuu ya Dawa inajukumu la kutoa taarifa mbali mbali za matumizi ya dawa kwa ajili ya kuisaidia Serekali kutoa maamuzi ya baadae.
Kuwa kituo bora katika mnyororo wa ugavi kwenye dawa na vifaa tiba Kusini mwa jangwa la Sahara
Kuhakikisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba vyenye ubora kwa wakati kwa kutumia teknolojia ya kisasa